top of page

Group

Public·65 members

Majukumu Katika Familia ((HOT))Kulea mtoto ni ahadi nzito. Wewe na mshirika wako mtalazimika kupitia safari yenye kuridhisha lakini yenye changamoto ya uzazi pamoja. Kuweka matarajio ya jukumu ambalo wewe na mwenzako mtacheza katika maisha ya mtoto wako ni muhimu. Blogu ya Pickles na Ice Cream ina nyenzo nyingi unazoweza kutumia kuanzisha mazungumzo haya na mshirika wako. Tunatambua kwamba familia zinatoka katika tabaka zote za maisha; kwa hivyo timu ilikusanya pamoja baadhi ya maswali ambayo tumeona yakiibuka kadri familia zinavyokuwa mzazi.
Majukumu katika FamiliaJ: Zungumza na mwenza wako kuhusu jinsi ya kushiriki majukumu katika kaya. Hii ni muhimu hasa ikiwa mpenzi wako atahitaji kuchukua kazi mpya ambazo hazijazoea. Huenda isiwe na raha - haswa ikiwa uhusiano wako unafuata majukumu ya kitamaduni ya kijinsia. Kidokezo kimoja cha kusaidia katika mazungumzo haya ni kuwa na mshirika wako aende nawe ili kumwona mtoa huduma wako. Mtoa huduma anaweza kueleza kimatibabu ni kazi gani unaweza kufanya wakati na baada ya ujauzito wako. Baada ya muda na mara tu unapojisikia tayari, wewe na mpenzi wako mnaweza kushikamana kwa kufanya kazi za nyumbani pamoja.


J: Uzazi unakuja na kujitolea, lakini haupaswi kuondoa furaha yote kutoka kwa uhusiano wako. Ninyi wawili bado mnapaswa kupata wakati wa kwenda kwenye tarehe na kutumia wakati pamoja. Jaribu mawazo mapya ya tarehe (rangi na kunywa, mtu yeyote?) ambayo ulikuwa ukiyazuia wakati wa ujauzito. Mfumo wako wa usaidizi unaweza kukusaidia na hili. Wategemee wakati wewe na mwenzi wako mnahitaji muda wa kuondoka. Kukuza ukaribu na kupendezwa na uhusiano wako kunaweza kukusaidia kupata usawa katika jukumu lako jipya kama wazazi.


Moja ya changamoto kubwa zinazowakumba vijana ni uwezo wa kukabiliana na maisha, ikiwa ni pamoja na majukumu, uwezo wa kufikiri na kupata majibu ya matatizo yao na kutatua shida mbalimbali za jamii wanayoishi.


Muda ambao kijana angejifunza kujitegemea kwa kufanya kazi anaumaliza katika mtandao au soga katika makundi sogozi ambayo hayamwongezei uwezo wa kufikiri bali kujifunza mambo ambayo hayaendani na umri wake wakati mwingine.


Unaweza usilione tatizo hili kama si mfuatiliaji mzuri wa maswala ya kijamii, lakini lipo miongoni mwa vijana wadogo wanaoelekea kujitegemea, uwezo wa kujituma katika majukumu yao, kuchanganua mambo hususani yanayowahusu maisha, umekuwa mdogo sana kiasi ya kwamba ninaanza kuziona familia zijazo zikiwa legevu au zikikosa kuwa na wazazi wanaoweza kutatua changamoto za familia zao.


Hili sio jambo ambalo limeibuka kusikojulikana, la hasha, kuna chanzo na kama tutashindwa kurekebisha kwa sasa kuna hatari kubwa miaka inavyozidi kwenda tukajenga jamii ya vijana wasioweza kujitegemea, wavivu, wasioweza kukabili majukumu yao katika familia na jamii zao.


Kwa wale ambao tumekulia vijijini watakubaliana na mimi kuwa vijana waliokuwa katika familia za kipindi cha nyuma kuna elimu ya jamii walikuwa wanaipata katika familia zao hususani ya kujitegemea, kufanya kazi, kujituma, kutambua majukumu yao jambo ambalo lilifanya vijana wale kuwa jasiri, wenye uwezo wa kufikiri huku ikiwaandaa kuwa baba na mama wazuri katika familia zao tofauti na sasa.


Majukumu hayo kwa sasa husuani katika maeneo ya mjini yamebadilika na sasa ni ya msichana wa kazi kuhakikisha kuwa nguo za mtoto (hata kama ana miaka 16) zimefuliwa, nyumba imefanyiwa usafi na vijana wapo wamepumzika na majukumu mengine huku tukiamini mtoto kazi yake ni kusoma elimu ya darasani ili afaulu tu.


Naungana na wanaosema kuwa mazingira yamebadilika na dunia imebadilika kwamba majukumu ya familia nayo yamebadilika kutokana na ujio wa utandawazi na teknologia. Ni kweli wengine wanaenda mbali Zaidi na kusema sio lazima vijana wa sasa kulelewa kama ilivyokuwa zamani, lakini kuna mambo lazima tukubali kuwa mtoto anapaswa kuyamudu kuyafanya mwenyewe akiwa nyumbani maana hatujui kesho ataishi wapi na atakuwa nani.


Hivi ni kweli mtoto hana haja ya kufahamu kufanya usafi wa nyumba anayoishi? Mtoto hahitaji kufundishwa kufua nguo zake mwenyewe? Mtoto hahitaji kufahamu kuosha sahani yake aliyoitumia kula chakula? Nadhani maswala madogo madogo kama haya yatupasa kuwaelekeza watoto wetu wakiwa wanakuwa na inawajengea uwezo wa kujituma na kuweza kuchangamsha akili zao katika kufanya kazi.


Ni lazima sasa wazazi turudi nyuma na kufikiri ni wapi tulikosea katika hili ili tulirekebishe kwa haraka na kurudi katika mstari uliosahihi ili kuweza kuwatengeneza watoto wetu waje kuwa wazazi bora wanaoweza kujituma na kufanya kazi bila uvivu katika miaka yao baadaye.


Mchakato huu ni muda wa pekee kwa maisha ya jumuiya ya Kiislam na unampa kila mmoja nguvu mpya kwa ajili ya maisha yake binafsi, familia na jamii. Kimsingi, ni muhimu kwa kila mmoja kutoa ushuhuda wa ujumbe wa kiroho kwa maisha maadilifu zaidi kila mara, maisha yanayoendana na mpango wa Muumba, katika ari ya kuwahudumia ndugu zake katika amshikamano wa udugu, mara zote mkuu zaidi na wafuasi wa dini nyingine, na watu wote wenye mapenzi mema katika nia ya kufanya kazi pamoja kwa faida ya wote.


2. Katika kipindi kigumu ambamo tunaishi, wafuasi wa dini mbalimbali, zaidi ya yote wanalo jukumu la kufanya kazi kama wafuasi wa Mwenye Nguvu kwa ajili ya amani inayoheshimu maoni binafsi ya mtu na ya kila jumuiya, kadhalika katika uhuru wa kuabudu.Uhuru wa dini usiochujuliwa katika ufinyu wa uhuru wa kufanya ibada tu, kimsingi ni moja ya vipengele muhimu vya uhuru wa dhamiri, ambao ni haki ya kila mtu, na ambao ni jiwe la msingi la haki za binadamu Ni katika kutambua hilo, ndipo unapoweza kuendelezwa utamaduni wa amani na mshikamano kati ya watu, na ambapo, kimsingi wote wanaweza kujituma katika kujenga jamii yenye udugu zaidi, kwa kufanya kila kinachowezekana ndani ya uwezo wao kukataa vurugu za aina yoyote ile, kwa kukemea na kupinga maelekeo ya migogoro, yenye ushabiki wa kidini, kwani inajeruhi ndani ya mwanadamu sura ya Mungu.


3. Kama watu wa dini, ni jukumu la kila mmoja, awali ya yote , kuwa mlezi wa amani, haki za binadamu, uhuru binafsi wa kila mmoja na pia maisha ya jamii bora zaidi, kwani mwanadamu anawajibika kuwasaidia kaka na dada katika ubinadamu bila baguzi wowote. Hakuna anayeweza kutengwa na jamii ya kitaifa kwa msingi wa kabila lake,taifa na tabia zozote za kibinafsi. Sote pamoja, wa mapokeo tofauti ya kidini, tunaitwa kueneza fundisho linalomheshimu kila mwanadamu, ujumbe wa upendo kati ya watu na kati ya jamii.


Kimsingi, ni juu yetu, ndani ya mtazamo huu, kulea kizazi cha vijana, watakaokuwa na majukumu katika ulimwengu wa kesho. Ni jukumu la kila mmoja, kwanza familia, kisha watu wenye majukumu katika ulimwengu wa malezi na wote wenye Mamlaka katika jamii na dini kuwajibika kuendeleza fundisho la haki, na kutoa kwa kila mmoja malezi yanayolenga maeneo yaliyotajwa na hasa malezi ya jamii, yanayomwita kila kijana kuwaheshimu wote wanaoishi nao na kuwajali kama kaka na dada, ambao tumeitwa kuishi nao kila siku, siyo katika tofauti bali katika heshima ya kindugu. Kwa hiyo, ni muhimu zaidi kukifundisha kizazi kipya amali za kibinadamu, kimaadili, misingi jamii iliyo muhimu kwa maisha binafsi na ya jamii.Ufidhuli wote wote ule, uwe ni wakati muafaka wa kuwakumbusha vijana kuwa wanategemewa sana katika maisha ya jamii. Ni faida ya kila jamii na ulimwengu kwa pamoja ulio hatarini.


4. Katika mtazamo huu, hapana budi kuona kwamba ni muhimu maendelezo na uimarishaji wa mazungumzano kati ya Wakristo na Waislamu, katika upeo wa malezi na utamadunmi ili kuweka pamoja nguvu zote au huduma za mwanadamu na binadamu, kusudi kizazi cha vijana kusijiundie makundi ya kitamaduni au ya kidini yanayokinzana, bali uthabiti halisi wa kaka na dada katika ubinadamu. Mazungumzano ni chombo kinachoweza kutusaidia kuondokana na mnyororo endelevu wa migogoro na mivutano mingi inayozikumba jamii zetu, kusudi watu wote waweze kuishi katika utulivu na amani, katika heshima kwa kila mmoja na maelewano mazuri hata katika tofauti zinapojitokeza


Kwa sababu hiyo, katika matashi yangu haya natoa angalisho kwa wote, ili katika mikutano na kushirikishana, Wakristo na Waislamu wafanye kazi pamoja kwa kuheshimiana katika kujenga amani na kujenga ulimwengu pawe mahali pazuri pa kuishi kwa watu wote. Huo utakuwa kwa vijana wa leo mfano wa kuiga na kufuata. Kuanzia hapo vijana watajenga matumaini mapya katika maisha ya jamii na watajitahidi zaidi katika kushiriki na kutimiza wajibu wao katika kuleta mabadiliko. Malezi na mifano itakuwa kwa ajili yao pia chimbuko la matumaini kwa baadaye. 041b061a72


About

Welcome to the group! You can connect with other members, ge...
Group Page: Groups_SingleGroup
bottom of page